Contact Form 0742667518

Name

Email *

Message *

August 10, 2018

MAKALA ZA WATOTO SEHEMU YA PILI.

Hakuna watu waliofikia mafanikio makubwa pasipo kukubiana kwa wanachotaka kukifanya.
Bila kukubaliana yanaweza kutokea mambo wasiyoyategemea .



Nikiwa na maana ya kwamba mtu kuamua kufanya maamzi bila kushirikisha waliomzunguka au anaofanya nao kazi likitokea tatizo yeye ndiye wakwanza kunyoshewa kidole,na watu wa namna hii wapo kila nyanja na kila mahali katika jamii zetu,wao hujiona wanaupeo mkubwa sana kumbe katika tafsiri ya kawaida sikweli.
Hipo haki ya msingi ya kila mtu kutoa maoni yake na kusilizwa na hasa Watoto ambao siku zote uonekana hawana mawazo yoyote na yenye kuleta mabadiliko ,kumbe wanaofiri hivi wenda wanazidiwa na hawa Watoto kufiri hasa katika Familia,twende kwenye  mada yetu ya msingi,,
Sheria ya Mtoto ya TANZANIA namba 21 ya mwaka 2009 imefafanua kwa marefu na mapana Sheria hii ya Mtoto kutoa maoni na kusikilizwa kwa mambo yake hata ya kifamilia kwa ujumla ili kuwema haki sawa na kufikia maamizi sahihi.
KIDS GENERATION inawakumbusha Wazazi,Walezi, Mashirika, Taasisi na Mtu mmoja mmoja kukumbuka majukumu yenu na  kuwapa nafasi Watoto kuchangia mawazo na maoni yao na popote watakapokuwa .

#Tunza
#Linda
#Heshimu haki za Mtoto.

#New_generation_with_changes.