Wazazi,walezo na jamii kwa ujumla kumbuka kuwa mlikuwa watoto na Maisha ambayo unayaishi leo ni matokeo ya malezi uliyopewa ukiwa mtoto.
Kids generation kupitia katika kampeni ya #NITETEE inalengo na madhumuni makubwa wa kuwakumbusha na kuwaomba kwa dhati kuwekeza kwa watoto hasa katika Nyanja kuu mbili za ELIMU na KIPAJI.