Mzazi chukua hatua mapema maisha ya mwanao yapo mikononi mwako.
Contact Form 0742667518
April 05, 2021
April 04, 2021
PASAKA NJEMA KWA WATOTO WOTE DUNIANI
Ni wajibu wa wazazi na walezi katika jamii kuwafundisha watoto, namna ya kusherehekea sikukuu zote sambamba na kuwapatia historia zake. Hii itawasaidia hapo baadae katika maisha yao. 2021"KIPAJICHANGU, MAISHA YANGU".
January 04, 2021
TAZAMA MAAJABU YA MTOTO ANTONY ALIYEMSHITAKI BABA YAKE BAADA YA KUTAKA K...
Huyo mtoto anaitwa ANTONY anatokea mkoani kagera ,
miaka mitatu iliyopita alionekana katika mitandao ya kijamii akilalamika na kutoa kashtaka akimtuumu Baba yake kutaka kuchukua uamuzi wa kuuza shamba la familia.
Antony aliojiwa na youtube channel moja na kuelezea kwa undani tukio zima lilivyokuwa,kitu ambacho huwezi kuamini ni kwamba alikuwa anasoma darasa la kwanza lakini anangaika kuhakikisha familia inapata chakula.
Muda mwingine alikosa masomo au kuchelewa kufika darasani kwa sababu ya kuhakikisha anapata kitu cha kupeleka nyumbani.
Antony alibahatika kupata msaada kwa mtu wa kupelekwa shule binafsi na kuanza masomo upya ,leo ni mwaka wa tatu tazama video hiyo na kuacha ujumbe pia #subscribe .
December 08, 2020
Tazama Mtoto mwenye kipaji cha kutangaza/ miguu ya kuku inauzika sana
Ni jukumu la kila mtu kakina jamii kuibua, kukuza na kuendeleza vipaji vya Watoto.
November 16, 2020
Subscribe to:
Posts (Atom)