Contact Form 0742667518

Name

Email *

Message *

June 26, 2019

https://youtu.be/yWNlTwbe_i8
Ni haki ya msingi ya Mtoto kuwa mzalendo kwa nchi yake pamoja na kuifahamu asili yake.
Shirika la KIDS GENERATION linawakumbusha wazazi ,walezi na watu wote katika jamii kuhakikisha wanatimiza wajibu wao.lengo kuu ni kukitengeneza kizazi kipya kitakachojitegemea.
Ipende nchi yako ili kuwa na maendelevu na ustawi wa jamii.