Huyo mtoto anaitwa ANTONY anatokea mkoani kagera ,
miaka mitatu iliyopita alionekana katika mitandao ya kijamii akilalamika na kutoa kashtaka akimtuumu Baba yake kutaka kuchukua uamuzi wa kuuza shamba la familia.
Antony aliojiwa na youtube channel moja na kuelezea kwa undani tukio zima lilivyokuwa,kitu ambacho huwezi kuamini ni kwamba alikuwa anasoma darasa la kwanza lakini anangaika kuhakikisha familia inapata chakula.
Muda mwingine alikosa masomo au kuchelewa kufika darasani kwa sababu ya kuhakikisha anapata kitu cha kupeleka nyumbani.
Antony alibahatika kupata msaada kwa mtu wa kupelekwa shule binafsi na kuanza masomo upya ,leo ni mwaka wa tatu tazama video hiyo na kuacha ujumbe pia #subscribe .
No comments:
Post a Comment