Contact Form 0742667518

Name

Email *

Message *

August 01, 2018

Linda,Tunza na Heshimu haki za Watoto.

Watakaohusishwa na unyanyasaji wa kingono hawana kazi UNHCR

1 Agosti 2018

Pamoja na jitihada za kupiga vita unyanyasaji wa kingono na ukatili, dhidi ya waathirika wa kivita katika maeneo ya migogoro  duniani ,shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR sasa limegeuzia harakati hizo kwa wafanyakazi wake ili  kutokomeza vitendo hivyo viovu.