Contact Form 0742667518

Name

Email *

Message *

August 31, 2018

Si vyema mama kulala na Mtoto mchanga.


Takwimu zinaonesha kwamba idadi wa watoto 133 wamefariki katika miaka mitano iliyopita kutokana na tabia ya akina mama wanaolala na watoto wao ,kwa mujibu wa data za elimu. Chanzo CHA TAARIFA ni BBC .

Tunza
Linda
Hashimu haki za Watoto.