MAKALA ZA WATOTO SEHEMU YA KWANZA.
NA Linus M. Patrick
Ni dhahiri kuwa kila kitu unavyokindaa ndivyo kitakupa matoke, yaweza kuwa chanya au hasi.
Pia ili kufanikisha ilo lazima utumie gharama kubwa na maandalizi yakutosha,bila shaka lazima matokeo ya hicho kitu yatakuwa ya ufanisi na faida kwa walio andaa na waandaliwa hapo baadae.
"Samaki mkunje angali mbichi" nimsemo wenye maana kumba kama utatafasiliwa vyema.Walio wengi utaka kuona vinaelea bila kujua nani kavianda na mara wakiona mambo yanaenda kombo ndio wa kwanza kulalamika .
Utakuwa na maswali mengi juu ya hilo je,ulishawai kujiuliza kama ungekunjwa ukiwa mbichi kama huyo samani ungelikuwa katika hali gani ?? Hakika ukweli unao mwenyewe .Nisiwachoshe sana japo safari ndefu na tunatumia usafiri usio aminika na kwenye Barabara ya Vumbi na mbaya zaidi tupo vichochoroni.
"Ulikuwa mtoto leo mtu mzima,na huyo ni Mtoto kesho atakuwa mtu mzima " si vyema kupanda maua kando ya nyuma yako ukategemea majirani watakusaidia kuyamwagilia ,nikimaanisha chako ni chako japo si chako pekeyako ni changu pia.
#KIDS_generation inakuomba kuwekeza kwa mtoto Mdogo ambaye ni raisi kuelewa na kutii anachoambiwa, Watoto wafundishwe Tamaduni zao ili kukianda kizazi cha wazalendo na siyo kizazi cha kulalamikiwa na kuonekana hakifai,pia kuwapa nafasi Watoto hawa ya kushiriki katika michezo ili kuibua vipaji vyao na kujenga. Afya ya Akili na Mwili,"kwani kitoto cha Mbwa si unyonya maziwa ya mama yake.!
Basi tunajua mpo na kama siyo sasa basi ni sasa hivi timiza wajibu wenu maana taifa na kizazi hiki ni chetu sote.
"Uwezi kwenda kwa jilani bila kutokea kwako"
#New_generation_with_changes





